Kwa kauli moja Vyama vinavyounda Umoja
wa UKAWA vilithibitisha kuyapitisha majina matatu kwenye safari ya
Kugombea Urais TZ Bara pamoja na Z’bar… majina hayo ni Waziri Mkuu wa
zamani, Edward Ngoyai Lowassa na Juma Haji Duni kwa upande wa TZ Bara, na Visiwani Zanzibar Mgombea ni Maalim Seif.
Mbunge James Mbatia
August 10 2015 safari ya Wagombea wa
UKAWA pamoja na Wanachama wa Chama hicho wameanza msafara kuanzia
Buguruni Dar, kuelekea Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC kwa
ajili ya Wagombea hao kuchukua Fomu hizo.
Naanza kukusogezea hizi pichaz za kwanza kutoka Makao Makuu ya CUF Buguruni.
Watu wa Usalama wako pembeni pia kuhakikisha Usalama unakuwepo wakati wote.
Post a Comment