photo Ad 728  x 90_zps6bmpgl6d.jpg
 

Unknown Unknown Author
Title: Story ya Nicki Minaj na ujauzito wa Meek Mill Ni kweli ama anatania?!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Nicki Minaj ameweka headlines kwenye kurasa za burudani kwa siku tatu mfululizo baada ya kutangaza  kuwa ana mimba ya superstaa boyfri...
nicki_minaj1
Nicki Minaj ameweka headlines kwenye kurasa za burudani kwa siku tatu mfululizo baada ya kutangaza  kuwa ana mimba ya superstaa boyfriend wake Meek Mill, taarifa ambayo imewaweka mashabiki wengi roho juu baadhi wakifurahia na wengine wakiwaza kama ni kweli ana mimba.
Kwenye tour ya mji wa mwisho waliotembelea wiki iliyopita Nicki Minaj alisikika akitoa pongezi za sifa kwa Meek Mill huku akiwaomba mashabiki wampigie kelele za kutosha “baba wa mtoto wake”… so hii ishu ni kweli ana mimba ama anatania tu?
onika
Licha ya hayo Meek Mill ameshasikika kwenye interviews zaidi ya moja akisema kuwa anatamani sana kuwa na mtoto na Nicki lakini ikiwa tu wakiwa ndani ya ndoa. Je msimamo sasa hivi umebadilika?
Mashabiki wana maswali mengi sana, na kama wewe ni miongoni mwa mashabiki wa Nicki Minaj utakuwa umejiuliza maswali mengi sana pia juu ya hii ishu…Hapa chini nimekusogezea kipande cha video na baadhi ya tweets za Nicki za Twitter.
minaj5

minaj4
Nicki Minaj aka re-tweet baadhi ya tweets za mashabiki huku akicheka sana…
minaj2     minaj1
Hizi taarifa zimewaacha mashabiki wengi wakiwa haweelwi nini kina endelea kwani umepita mwezi mmoja tu toka Nicki Minaj aseme kupitia Twitter kuwa hategemei kuzaa akiwa hayuko ndani ya ndoa. Wewe unaonaje?
minaj6

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top