photo Ad 728  x 90_zps6bmpgl6d.jpg
 

Unknown Unknown Author
Title: Radamel Falcao Amwaga wino rasmi na Chelsea
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mabingwa wa ligi kuu ya England, Chelsea wamekamilisha dili la kumsajili mshambuliaji wa Colombia, Radamel Falcao kwa mkopo wa mkataba wa mu...
Mabingwa wa ligi kuu ya England, Chelsea wamekamilisha dili la kumsajili mshambuliaji wa Colombia, Radamel Falcao kwa mkopo wa mkataba wa muda mrefu kutoka Monaco, huku kinda wa Blues Mario Pasalic akihamia upande mbadala kama sehemu ya makubaliano.
falcao3
Falcao mwenye miaka 29 ambaye mkataba wake uko Monaco, alikuwa analipwa £285,000 kwa juma Old Trafford, lakini sasa amepunguziwa mpaka £140,000 akiwa Stamford Bridge.
Mshambuliaji huyo alikuwa na msimu mbaya alipokuwa Manchester United kwa mkopo piaA. Alifunga magoli manne tu katika mechi 26.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top