photo Ad 728  x 90_zps6bmpgl6d.jpg
 

Unknown Unknown Author
Title: Diamond Platnumz kuwania tuzo za ‘Uganda Entertainment Awards 2015’, kuchuana na Wizkid
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Diamond Platnumz ameendelea kutajwa kuwania tuzo mbalimbali barani Afrika, akiwa ni miongoni mwa wanaowania tuzo za MAMA zitakazotolewa mwez...
Diamond Platnumz ameendelea kutajwa kuwania tuzo mbalimbali barani Afrika, akiwa ni miongoni mwa wanaowania tuzo za MAMA zitakazotolewa mwezi huu, muimbaji huyo wa ‘Nana’ ametajwa kuwania tuzo zingine za Uganda zijulikanazo kama Uganda Entertainment Awards 2015 (UEA).
UEA-2
Platnumz anawania kipengele cha Best African Act, akichuana na Wizkid (Nigeria), Patoranking (Nigeria), Tiwa Savage (Nigeria) na Active.
UEA-1
Tuzo hizo zinatarajiwa kutolewa Septemba 4, 2015 katika hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort (Speke Ball) jijini Kampala, Uganda.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top