
Klabu ya Manchester United imepanga kutoa kitika cha pound milioni 60 kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa kijerumani Thomas Muller (25) anae ichezea klabu ya Bayern Munich. Manchester itamsajili mjerumani huyo kama mbadala wa mshambuliaji wao wa kiholanzi Robin Van Persie.

Thomas Muller anatajwa kuhamia United
Tayari United imekubaliana na klabu ya
Fenerbahce ya Uturuki dau la pound milioni 4.7 kama ada ya uhamisho wa
Van Persie na atafanyiwa vipimo vya afya weekend hii na kusaini mkataba
wa miaka minne na mshahara wa pound 200,000/=.
Post a Comment