Wengi sasa hivi tunafahamu ya kuwa Aunt Ezekiel ni mama wa mtoto mzuri wa kike aliempa jina la Cookie, baba wa mtoto huyo ni moja ya dancers wa Diamond Platnumz, ambaye anaitwa Mose Iyobo.
Muda mfupi uliopita staa huyu wa Bongo Movie ameweka picha @Instagram, amejichora tattoo ya jina la mwanae na mpenzi wake.

Post a Comment